Unamshaurije huyu dada?


Mkuu Jodoki Kalimilo,

Nakuomba sana utambue na kutofautisha mambo ya kufanya ngono na upendo wa kweli. Ngono (kama physical act) unaweza kufanya na mtu yeyote (hili ni kwa wanaume na wanawake) ila upendo wa kimapenzi huwezi kuwa nao kwa kila mtu unayefanya naye ngono...!

Ili mtu akubali kuoa/kuolewa na mtu, anakuwa na vigezo vyake ambavyo kwa kweli ni dynamic...

Unaweza kusoma zaidi KWENYE HII THREAD

Babu DC!!
 
Bora tu wapotezeane mapema ili kila mtu ajue zake, sababu mapenzi hayapo tena hapo
 
We umeona wapi muuza genge akaoa msomi bhana,uyo dada inabidi apotee mitaa iyo ili jamaa asipate machungu pindi atakapojua amepigwa chini.
 

kwnza huyo jamaa yako alifanya makosa makubwa sana kukusomesha na nilijua tu nilipoanza kusoma itaishia wapi.Hayo yaliyompata jamaa yako si ya kwanza kutokea yupo pale mlimani profesa mmoja yalimpata hayo hayo akaahidi hatooa tena mpaka kiama.Kwa kiffupi wanaume wenzangu usije hata siku moja ukamsomesha demu wako ukadhani kuwa atakuja kulipa fadhila,kama fadhila kwa mwanamke alishalipa pale alipokupa mwili wake ndio wanawake walivyo hii kesi si ya kwanza wala ya pili,Wala msije mkawaendeleza madem zenu kwa kuwajengea majumba na kuwanunulia magari mkadhani kuwa atakushukuru milele shukrani yake kwako ni pale unapofanya naye mapenzi bure siku mkiachana anaondoka kwa roho nyeupe sabab kashakulipa wala hawajisikii vibaya.Na kama mtu haamini nayo sema afanye kama yaliyomkuta mtoa mada halafu aone matokeo yatakuwaje.

Kama unamwonea huruma sana na hauna jinsi lazima umsomeshe au umwendeleze basi hakikisha haufanyi naye mapenzi we msaidie najua atakuwa anajileta kwako umtie lakini kataa na usimtie hata mara moja mfanye awe kama dada yako hapo kidogo anaweza kukulipa fadhila.Mwanamke unamwendeleza kwa shida kwa miaka hata saba lakini ukizini naye hata mara moja tu basi kwake hayo ni malipo tosha kabisa na anaondoka roho nyepesi akijua kashakulipa msalaba ule wa miaka 7.Hapo hata akikuacha wala hajuti sababu kasha kulipa.
 

Alifanya kosa kubwa sana umsomeshe mwanamke kwani wewe ni baba yake? sisemi hivi nionekane nawachukia wanawake bali ni kutokana na athali zitakazofuatia za wewe kumsomesha % kubwa ya waliosomesha wapenzi wao wa kike walikataliwa na hao hao wapenzi nina mifano tofauti ya kesi kama hii mi 5 na yote ni ya kweli.
 
snake cant be trusted, no matter how hard you feed them, they will always bit your ass...

Mwanamke usomeshwa na baba yake tu.nakubalina na wewe ukitaka kujifanya wewe ndio baba yake yatakukuta ya kukuta kama jamaa yetu.Halafu kuna kitu kimoja nataka kuongezea mwanamke hata kama wote mna degree kuishi na mwanamke aliyesoma ni ishu sabab yeye anajua na wewe unajua ndoa haidumu ndio maana ndoa nyingi walizooana wasomi zimevunjika ukimwambia kapike anasema hawezi kwani naye anafanyakazi kama wewe mwishowe mnaachana.
Sometime nasemaga huu uzungu tunaoiuigaga utakuja kututokea puani kama haujaanza.mwanamke siku zote anatakiwa awe chini ya mwanaume na kama ikishindikana mjomba jiandae.
 
Nakuomba sana utambue na kutofautisha mambo ya kufanya ngono na upendo wa kweli. Ngono (kama physical act) unaweza kufanya na mtu yeyote (hili ni kwa wanaume na wanawake

Nakubaliana na wewe kabisa kutoka moyoni kwa sababu za kimaadili tu huwa hatujitaji lakini kiukweli hayo niliyoya-bold yanajulikana na tumeshaya-practice kwa kuwa na mtu but inapokuja kwenye future inakuwa hana vigezo vilivyotimia lakini kuna mawili hapa inawezekana mmoja wapo akawa na upendo wa kweli ila hajui kama anapotezewa muda au wote wametamaniana na kila mtu ana mpenzi wake sema mazingira yamewa-force kutimiza mahitaji ya mwili.(lakini hapa experience inaonyesha hata kama unahitaji ngono lakini bado utakuwa na aina flani ya mtu unaemtaka kufanya nae ngono though wachache huwa hawachagui wala hawabagui, uwe muuza genge, mwalimu, mpiga debe)

Ili mtu akubali kuoa/kuolewa na mtu, anakuwa na vigezo vyake ambavyo kwa kweli ni dynamic...
Hapa sawa kabisa kila mtu ana vigezo vyake though wakati mwingine kuna complication na ndio maana utasikia mtu anamsema mwenza wake "yule sio chagua langu kabisa sema mihela yake ndio imeni-force nikakubali ili maisha yaende".

Kwa mtaji huu kuna uwezekano wa mtu akaingia kwenye ndoa bila kuwa na upendo na mwisho wa siku akawa hana tofauti na yule ambae anafanya ngono kama hitaji la mwili lakini hakuna upendo wa kweli.

Asante kwa huo uzi nitaupitia mdau ili nielimike (network utata kidogo) si unajua ni vizuri kuwa na idea mbalimbali kisha una compare na reality kulikoni kutokujua kabisa hivyo nitapitia mie nilikuwa nachangia kwa kuangalia what is happening uswazi kwangu maana the way I see yule muuza genge alikuwa amemdondokea kabisa yule mdada ila bidada yeye alikuwa anapoteza muda ndio maana nikasema sometime hata mwanaume unavyofanya selection lazima uangalie nafasi yako kwa huyo mwanamke (unakuja na SUSTAINABILITY STRATEGY ya maisha yako)
 
Miaka 20 hawezi akawa kamaliza chuo kikuu. Ama story ya uongo au umri ndio wa uongo
 
Wakati anakulipia ada ulimwona mzuri leo umefanikiwa unamkana~kuna tofauti gani kati ya huyo muuza genge na mlezi wako.fikiria sana juu ya hilo kabla hujatenda;kama utaamua hilo inakubidi uamumue kiekima sana.
 
bazazi leo umekuwa mtoto mzuri kweli kweli!
 
Doh! Huyu dada mwenzangu sasa anataka kumchokoza Mungu. Wakati unapokuwa na shida nzito na mbele unaona giza, then unapata msaada usioutegemea jua kuwa ni Mungu. Mungu huinua watu wa kukupa msaada pale unapohitaji. Sasa ni jukumu lake na yeye kumsaidia jamaa ili anyanyuke, abadilike na kuwa yule anayemhitaji. Jamaa kajitoa sana kumrekebishia maisha. Kumuona hafai wakati hela yake ilimfaa is not fair hata kidogo.
 
hii inafanana sana na tukio lililotokea kwenye hotel mpja kule kigamboni 2001. baada ya msichana kusoma na kumuona aliyemsomesha kuwa si wa hadhi yake, alimpa live na kusema 'nitakurudishia gharama zako zote ila uniruhusu nikaolewe'. basi jamaa akakubali na kumuomba usiku mmoja tu wa kuagana rasmi, akachukua room kigamboni, bidada akaja bila ajizi wakaanza kuspendi. kumbe jamaa ana lake jambo. ilipofika usiku jamaa alimchinja bidada kama kuku na kuiacha damu ikatiririka kiasi cha mtu akipita mlangoni atajua humu kuna tukio limefanyika. jamaa wala hakukimbia alisubiri kukakucha na polisi walipofika walimkuta amekaa anawasubiri. akawaeleza kilichotokea pamoja na chanzo cha yeye kufanya vile, wakampeleka segerea. mwambie huyo dada aangalie sana,... jashola mtu halipotei hivi hvi..
 
hiyo kweli kabisa...., nishawahi kukutana na jamaa analia kama mtoto pale academic bridge (udsm). kamsomesha binti tangu f3. kaja chuo kapata bwana mpaka akampa mimba. demu alikata mawasiliano ndo kisa cha jamaa kufunga safari toka urambo mka dar kumsaka. alichokiona ilibidi alie tu, maana aliona tumbo hilo... hakuwa na cha kuuliza tena. alirudi home mikono nyuma. mie nikampa kampany mpaka kituo cha contena, akapanda gari la ubungo.
 
bazazi leo umekuwa mtoto mzuri kweli kweli!
snowhite! Acha hizo Bana! Bazazi ni mtoto mzuri tu siku zote, tatizo lake ni kuwaambia watu ukweli kwa lugha halisi. Naomba unisamehe hayo ndio madhara na athari za kukulia Temeke Kwa Kindande. Kuishi kule kulitokana na kuwa na wazazi hohehahe.

Unazijua songombingo za huko snowhite weye? Ni fullu utata, fulu bata; unajua kila seheme kuna raha zake. Hata gerezani kuna raha zake (hivi kuwaona wanaume wawili wanalawitiana mchana kweupe na chumba kunukia marashi chapa mavi sio raha? Uraiani hata wanangonoana huwa wanajifika acha kulawitiana).

Nimesema,
Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
mgema akisifiwa !lol haya basi siongezi neno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…