Kongosho hapo kwenye red ni nini kilitukia? Ni hatma ya huyo mwanaumeduh, kumuacha mtu wa aina hii nafsi inaweza ikusute maisha yako yote, ngumu sana.
Kuna mmoja ilikuwa hivi hivi, au ndio yeye? Ila yeye walizaa na mtoto mmoja, ndio akaenda chuo kikuu. Akamwachia mmewe mtoto mdogo alee, hapo kijana ana meza kariakoo.
Kufika mwaka wa tatu, dada akaolewa na mmiliki wa hotel moja hivi, yaani watu walikuwa wakimuona yule kaka, hadi wanampisha njia.
It was bad! Very bad kwa mwanamme, hakuwa anajua aanzie wapi.
Kongosho hapo kwenye red ni nini kilitukia? Ni hatma ya huyo mwanaume
Sitaki kuwa muumini, lakini malipo ni hapahapa duniani!
Bazazi
mbona heading haiendani na maudhui ya sred?acha kugeneralise na kuwalisha wenzio sumu,women are nt uniform objects.
ah huyu mwanamke alikuwa halijui kuwa muuza genge sio choice yake wakati mwana anajipinda kumlipia ada!!! hawa ndio wanawake wakuwabaka na kuwa f.i.r.a
we vp wamenisomesha wazazi wangu na sasa wanakula matunda icitoshe yanikute yepi while mie ni she?Sasa wewe chapa lapa halafu utajua kwanini huyo aliyekusomesha alijinyima kwaajili yako.....na yakikupata tafadhali usisahau kutuletea mrejesho hata kama umeumia
we vp wamenisomesha wazazi wangu na sasa wanakula matunda icitoshe yanikute yepi while mie ni she?
Umesema ovyo. matusi ya nini? Unajichukulia sheria mkononi kama ...........