mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,728
Sasa Imewekwa wazi kwamba wahitimu wa shahada masomo ya sanaa matumaini yao kuajiriwa
ktk shule za serikali ni kama Ngamia kupita katika tundu la sindano.
Tangazo la kwamba kuna ziada ya waalimu zaidi ya 7400 ambao tayari wameajiliwa lakini wamezidi, Kwa lugha nyingine kama ingekuwa kampuni binafsi hawa wote walipaswa kurudi nyumbani ni kama mwiba wa moyo kwa mtu aliyekuwa anatarajia ajira hizo.
Haya yote yanatokea huku mitaani kukiwa na vizazi viwili vya wahitimu huku kizazi cha tatu kikiwa mbioni kuanguliwa.
Katika mazingira haya ya msongo kwa kaka na dada zetu walioweka matumaini yao kutoa elimu kwa watoto wetu, tena wasijue kuwa hali hii ingewatokea unadhani upi ni ushauri wa Msingi sana na wamuhimu kwao katika mazingira haya ya sasa?