Unamkumbuka yule ex?

Unamkumbuka yule ex?

Nikirudi nimelewa pombe zangu akija ghetto ananiambia sogea hapa ananinusa mdomoni anaanza kulia aise kuna matukio nikikumbuka najua tu yule ndio alikuwa mke wangu sema nilizingua .

Narudi nimelewa mwanamke analia ananiambia kwanini unakuywa pombe nimekukataza sana husikii nk , akishamaliza hapo ety ananikagua kama nime kwich kwich kwanzia chupi mzee inakaguliwa kama daktari , akimaliza napewa mpka basi mpaka nasema ntakufa Mama .

Huyo narudi zake kwao akishajua nimechoka mpaka nataka kufa ndio ananiacha aise huyu mwanamke acheni tu .
Nikaanza kugonganisha magari sasa hapo ndipo tulipo zinguana tuliachana kwa nguvu kubwa , japo tumepotezana lakini najua tunapendana bado
 
Nikirudi nimelewa pombe zangu akija ghetto ananiambia sogea hapa ananinusa mdomoni anaanza kulia aise kuna matukio nikikumbuka najua tu yule ndio alikuwa mke wangu sema nilizingua .

Narudi nimelewa mwanamke analia ananiambia kwanini unakuywa pombe nimekukataza sana husikii nk , akishamaliza hapo ety ananikagua kama nime kwich kwich kwanzia chupi mzee inakaguliwa kama daktari , akimaliza napewa mpka basi mpaka nasema ntakufa Mama .

Huyo narudi zake kwao akishajua nimechoka mpaka nataka kufa ndio ananiacha aise huyu mwanamke acheni tu .
Pamoja na yote aliyojitahidi, still hukuona umuhimu wake by then.
 
Ndivyo inavyokuwaga. Ila no way, ndio maisha haya.
Ndio maana wazungu husema "" what goes around comes around"" nilikuja kumpata mtoto mzuri tulidumu nae mwaka mmoja tu, akaja kunipiga tukio la kufa mtu niliumia sana ila nikakumbuka namimi nilishamliza mtoto wa mtu.
 
Nimewakumbuka na wawili nimewarudisha kwenye himaya yangu
Basi hao hukuwaumiza. Kuna yule ambae maumiv anayokuachia, ikitokea yameisha hata arudi kwa magoti humuelewi tena
 
Ndio maana wazungu husema "" what goes around comes around"" nilikuja kumpata mtoto mzuri tulidumu nae mwaka mmoja tu, akaja kunipiga tukio la kufa mtu niliumia sana ila nikakumbuka namimi nilishamliza mtoto wa mtu.
Ni noma sana mkuu.
 
Nikirudi nimelewa pombe zangu akija ghetto ananiambia sogea hapa ananinusa mdomoni anaanza kulia aise kuna matukio nikikumbuka najua tu yule ndio alikuwa mke wangu sema nilizingua .

Narudi nimelewa mwanamke analia ananiambia kwanini unakuywa pombe nimekukataza sana husikii nk , akishamaliza hapo ety ananikagua kama nime kwich kwich kwanzia chupi mzee inakaguliwa kama daktari , akimaliza napewa mpka basi mpaka nasema ntakufa Mama .

Huyo narudi zake kwao akishajua nimechoka mpaka nataka kufa ndio ananiacha aise huyu mwanamke acheni tu .
Poleee chief ulipoteza zaidi ya mke, uyo alikuwa zaidi ya mpenzi kwako
 
Ila cha ajabu, kipindi kile jamaa alikuwa haoni ilo. Kuna muda wanaume tunateleza sana.
 
Mahusiano yakifa, kila mmoja huwa anaelezea habari mbaya za aliyekuwa mpenzi wake, yale mazuri yote yalifutika mapenzi yalipoisha.

Jamaa analalamika jinsi gani ameweza kumpangishia nyumba mpenzi wake, alaf mpenzi wake nae ameleta mpenzi wake wanaishi kwa kodi ya jamaa.

Kuna dada analalamika kuhusu yule boyfriend wake ambae walikuwa washatambulishana hadi kwa wazazi, ila ghafla jamaa amebadili mawazo na kuwa kivuruge.

Kwa ufupi kila mtu anajaribu kuelezea jinsi mapenzi yalivyomtenda. Ila ngoja nikuulize swali mkuu:

UNAMKUMBUKA YULE EX WAKO?

Yule ambae pamoja na upendo wote aliokuwa nao kwako, ila ulimuona hafai ukampiga chini bila sababu ya msingi? Namaanisha yule ambae ni muda mrefu sasa tokea muachane nae, ila mpaka leo akiulizwa kwanini mliachana wala hajui sababu, maana hukumpa sababu ya kueleweka? Yeah huyo ndio nakuuliza, UNAMKUMBUKA?

Sasa basi, jinsi ambavyo unasota katika mahusiano ya sasa, au jinsi ambavyo unaumia kwa uliyopitia hivi karibuni, basi kipindi kile pengine aliumia zaidi ya hivi.

Mkuu nakuuliza tena, Unamkumbuka yule ex wako? Yeah yule ambae alijituma kama mke kwako japo hakujulikana kwenu wala kwao hawakukujua. Eti dada angu, hivi bado unamkumbuka yule aliyekuwa anasimamia shoo za mahitaji yako as if ni mzazi wako ila ghafla ukaamua kutemana nae. Analyse nimemkumbuka leo ndio maana nimeonelea nikuulize na wewe:

Unamkumbuka yule ex wako?

Quick reminder wakuu ni kwamba : "We are all bad in someone's story" so punguza kulalamika yakikukuta, hata wewe ulishawahi kumliza mtu.

Stop live in time, live in moments. Ukiumia lia, ila ikija happy moment basi fatana nayo furahia to the max. Ila ukijifanya unazikwepa good moments eti kwavile upo kwenye bad time, YOU WONT BE HAPPY FOREVER

Hakuna anayefanya ubaya akiwa anaamisha kufanya hivyo, watu wanakuwa wanajaribu kutafuta furaha.

Analyse

#Baharia_wa_nchi_kavu
Namkumbuka sanaa aisee nilimkataa bila sababu yaan nilijikuta tuu nimemchoka
 
Ni Msimu wa Vumbi na Mafua makali.

Wear Mask.

Sanitize often.

Practice Social Distancing.

It helps a lot!

Achana na viporojo vya jonijo.
 
Back
Top Bottom