Unamkumbuka yule ex?

Unamkumbuka yule ex?

Natamani sana kuiskia story yako about love mchumba.
It's abit complicated story mkuu! Ila ndiyo hivo kuna mtu nilikua nampenda mno mno ila sasa yeye nadhani hakuwahi kunipenda nahisi hadi akiona sms zangu ama calls anahisi namsumbua hivi😒 na mimi hivo hivo unaona huyu mtu kama anakuelewa hivi ila hata ukijilazimisha kumpenda pia moyo unakataa kabisa! Basi tu ila maisha yanendelea.
 
Nikirudi nimelewa pombe zangu akija ghetto ananiambia sogea hapa ananinusa mdomoni anaanza kulia aise kuna matukio nikikumbuka najua tu yule ndio alikuwa mke wangu sema nilizingua .

Narudi nimelewa mwanamke analia ananiambia kwanini unakuywa pombe nimekukataza sana husikii nk , akishamaliza hapo ety ananikagua kama nime kwich kwich kwanzia chupi mzee inakaguliwa kama daktari , akimaliza napewa mpka basi mpaka nasema ntakufa Mama .

Huyo narudi zake kwao akishajua nimechoka mpaka nataka kufa ndio ananiacha aise huyu mwanamke acheni tu .

Nilikuwa na mmoja wa hivi.... nikilewa analia...naswaliwa niache pombe. She’s such a woman and a half
 
Nilikuwa na mmoja wa hivi.... nikilewa analia...naswaliwa niache pombe. She’s such a woman and a half
Nilikuwa nakula bata mzee, mtoto anakuja ananipikia chakula ananisimamia nakula mpaka nashiba yeye ndio anakula , tena ana amani zote . Masela wakimtokea naletewa kesi jamaa wakiomba namba za simu wakisumbua sana nawapa zangu
 
It's abit complicated story mkuu! Ila ndiyo hivo kuna mtu nilikua nampenda mno mno ila sasa yeye nadhani hakuwahi kunipenda nahisi hadi akiona sms zangu ama calls anahisi namsumbua hivi na mimi hivo hivo unaona huyu mtu kama anakuelewa hivi ila hata ukijilazimisha kumpenda pia moyo unakataa kabisa! Basi tu ila maisha yanendelea.
Kitendo cha moyo na ubongo kukataa kuoneshana ushirikiano, hasa katika mahusiano ndio kinatugharimu
 
Aise kuna wanawake Mungu anakupa kama bure hivi sema ujinga wetu wanaume tunaharibu wenyewe, Happy wangu alinifanya nikaona mapenzi ni matamu yani nipo mimi tu katika hii dunia . Aise sijui kama ntapata mwanamke kama Happy . Happy whatever your nakupenda sana Mungu akubariki kwa uliyonitendea ila mimi ndio niliharibu mwenyewe .

tatz kilikuwa nin mpaka unaharibu sehem unayopata raha za dunia na kujihis upo mwnyw duniani
 
Nikirudi nimelewa pombe zangu akija ghetto ananiambia sogea hapa ananinusa mdomoni anaanza kulia aise kuna matukio nikikumbuka najua tu yule ndio alikuwa mke wangu sema nilizingua .

Narudi nimelewa mwanamke analia ananiambia kwanini unakuywa pombe nimekukataza sana husikii nk , akishamaliza hapo ety ananikagua kama nime kwich kwich kwanzia chupi mzee inakaguliwa kama daktari , akimaliza napewa mpka basi mpaka nasema ntakufa Mama .

Huyo narudi zake kwao akishajua nimechoka mpaka nataka kufa ndio ananiacha aise huyu mwanamke acheni tu .

Eeeeeh apo kweli umeacha mke aliyekupenda aseeee ulikuwa unapata raha
 
Ndio maana wazungu husema "" what goes around comes around"" nilikuja kumpata mtoto mzuri tulidumu nae mwaka mmoja tu, akaja kunipiga tukio la kufa mtu niliumia sana ila nikakumbuka namimi nilishamliza mtoto wa mtu.

Akili ilikukaa vyema sasa nahisi utakuwa unakumbuka vizuri pendo la happy
 
Kuna Ex Mmoja Huyo Yeye Uzuri Wake Alikuwa Akivua Nguo Nikajaza Ku-conclude Kuna Watu Uzuri Wao Umefichwa Na Mavazi Wanayovaa!
 
Nikadhan nmemzoea baada ya miaka MI 3 kwenye mahusiano, one day tume chill vimbwetani nkamwambia you know babe I usually smoke weed sometimes and it's not a big deal.

Akalia machoziii mengiiiii Sana.. Ohh I can't believe it, I used to think your so smart in class, una akili Sana hata GPA zako n nzuri but siwez kudate na wavuta ndum. Am sorry Stiffler, alafu akaniacha diplomatically from that day , popote ulipo R nakukumbukaga Sana. Naonaga ulipanic tu icho kipengele
 
I have no beef with any of my exes.

I have long forgiven their mistakes and hope they forgave mine.

Each relationship made me a better woman.

The woman I am today.
 
Nikadhan nmemzoea baada ya miaka MI 3 kwenye mahusiano, one day tume chill vimbwetani nkamwambia you know babe I usually smoke weed sometimes and it's not a big deal.

Akalia machoziii mengiiiii Sana.. Ohh I can't believe it, I used to think your so smart in class, una akili Sana hata GPA zako n nzuri but siwez kudate na wavuta ndum. Am sorry Stiffler, alafu akaniacha diplomatically from that day , popote ulipo R nakukumbukaga Sana. Naonaga ulipanic tu icho kipengele
Tatizo lako ndio ilo kiherehere, alitakiwa kujionea mwenyewe unafikiri mademu wa Bob wote walipenda avute weed? Common sense brother.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Tatizo lako ndio ilo kiherehere, alitakiwa kujionea mwenyewe unafikiri mademu wa Bob wote walipenda avute weed? Common sense brother.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Nlifikiri tumezoeana Sana mzee.. Sema manz alikua na tendency na attitudes za kilokole af mlume nmesoma na kukulia uboizini.
Mkuu, angeona angezimia kabisa.
Sema haikua kesi
 
Kuna mmoja miaka hiyo ya Ujana wangu, nilimpendaga sana, mara ghafla bila sababu Akaacha kupokea simu zangu.

Nakumbuka nilipiga sim siku mbili mfululizo hakupokea, baada ya hapo niliandika sms kama gazeti ya malalamiko kwa nini ananifanyia hivyo hakujibu.

Nikaona hapa sina changu tena nikaendelea na maisha yangu. Lakini haikuwa rahisi.

Mwaka huu ndiyo ananitafuta kwa nguvu zote wakati mimi nilishasahau na sina muda huo tena.
 
ah, mengi tunayapitia vijana, kuna kuachwa na kuacha vyote ni kutafuta sehemu sahihi, unaweza kupata au kukosea pia,, kikuwa mnavyoachana mwombee baraka unaemwacha, na wewe unaeachwa umia huku ukiomba heri katika safari zako!!
.
.
niliwahi kupendwa nilivyokuwa chuo, ah yule mdada alikua akinipenda sana,, ila kijana sikuwa tayari.. hua namwombea sana apate baraka na mume mwema!
 
Kuna kipindi fulan ilikuwa nawakumbuka baadh ya Ma EX wangu, ila uyu Mwanamke nliempat saivi Aise...Amefanya niwafukie Ma Ex woteee, Kiukwelii Nampenda sana na Hilo halija ubishii...Ana nitreat kama Mume yaani, na kizuri zaidi Ni mtu wa dini... Ni pisi moja kali sana ambayo Tabia zake na ilivyo pisi ata mtu huez Amini...Amenibadilisha kwa kias kikubwa sana...Nadiliki kusema kuwa kama ikatokea tutaachana Sitakuja tena kupenda kama ninavompenda uyu dada....miez imepita nilimpeleka home yani mpaka wazee na mawifi wamempenda kwanzia tabia mpka umbo....wao wenyew wamekiri kuwa hii ni pisi kali, sasa hv tuko kwny mipango ya kuonaa....Mpaka dak hii na kila sifaa ya kuitwa Mke...Sijajua uko mbeleni Maana wanawake hubadilika...Ila kwa vyovyote vile me ndo nishampenda tenaa sanaaaa....Yaani saiv ata apite Mwanamke gani kwangu naona wakawaida sanaa...Sijui kanipa nn uyu mwanamke
 
Back
Top Bottom