Unamkumbuka huyu mtoto?

Unamkumbuka huyu mtoto?

Unaijua idadi ya Watoto na kina Mama waliouawa na hao Mabeberu huko Iraq? Afghanistan? Libya? Syria? Palestina na kwingineko? Unaijua idadi ya wanaouawa kwenye nchi mbalimbali kutokana na mikakati ya Mabeberu ya kupora mali hasa huko DRC na kwingineko?

Usidanganyike na hiyo picha tu,
Kila jamii ina watu wazuri na ina watu wabaya,sio Mabeberu wote ni watu wazuri na sio Race zingine watu wake wote ni wabaya,

Jipe muda,tafakari.
Hivi Banyamulenge walikuwa ni wazungu wa wapi wale?
 
Utakua una chuki zako binafsi tu na hizo kabila ulizozitaja,So hata ukieleweshwa huwezi kuelewa coz umesha kua brainwashed,

Black wanauawa kila siku ndani ya US na Whites au wewe unaishi Dunia gani ambayo hizi habari zinakua hazikufikii?
Unajua kuwa idadi ya blacks wanaouana wenyewe kwa wenyewe huko US ni kubwa kuliko wanaouliea na polisi au whites wengine?
 
Unamkumbuka huyu mtoto? Mwaka 2015 aliokotwa Abuja Nigeria akiwa na utapiamlo mkali. Wazazi wake walimtupa wakihisi wamezaa jini.

Raia mmoja wa Norway Anja Ringgren Lovén alimuokota, akamuogesha na kumpeleka hospitali. Akapata matibabu kisha akarudi kuishi nae. Akamlisha vyakula vyenye virutubisho ili kuondokana na utapiamlo mkali aliokua nao.

Mwaka 2017 katika ukurasa wake wa Facebok Anja aliandika maneno haya (nimefanya tafsiri isiyo rasmi);

"Siku ile nilipomuona huyu Malalika aliyetelekezwa niliumia sana. Nilipombeba ktk viganja vyangu nilijua kabisa HATAPONA. Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu nilipoteza matumaini ya uhai kwa mtu niliyeamua kumsaidia.

Alisimama kwa shida, alipumua kwa shida, alikula kwa shida. Hata alipolia sauti ilitoka kwa shida. Kila kitu kwake kilikua shida. Kwahiyo nilijua atakufa. Lakini sikutaka afe kama mnyama. Sikutaka afe bila utu. Sikutaka afe bila jina.

Nikaamua kumpa jina. Nikamuita HOPE. Neno Hope kwangu ni la pekee. Miaka mingi iliyopita nilichora "tatoo" yenye neno HOPE mikononi. Sijaifuta hadi leo. HOPE kwangu inamaanisha.

H- Help
O- One
P- Person
E- Everyday

Kwa muujiza wa Mungu Hope alipona. Picha ya kwanza kushoto ni wakati ameokotwa. Inayofuata ni 2017 akiwa ameanza shule. Picha ya 3 kushoto ni mwaka 2018, Anja alipost kuonesha maendeleo ya Hope tangu alipookotwa hadi wakati huo. Na picha ya mwisho kulia ni December 2020 Hope akiwa nyumbani kwa Anja anapolelewa.

Kuna mengi ya kujifunza kwenye kisa hiki. Unajisikiaje ukitupia chakula mbwa wakati watoto wa jirani yako wanashindia uji wa chumvi? Unajisikiaje kila weekend unafuja hela kwenye kumbi za starehe wakati kuna ndugu yako anakufa kwa kukosa elfu 10 ya matibabu?

Mungu anapokubariki sio kwamba wewe ni bora kuliko wengine. Anakubariki ili ubariki wengine. Tunapotafakari kisa cha Anja na Hope tuendelee kukamilisha ujenzi wa nyumba ya Penina. Wewe unayesoma ujumbe huu ndiye Anja wa kuikoa familia ya Penina itoke kwenye zizi wanaloishi kama wanyama, na wawe na makazi bora.

View attachment 1714402
Alafu kuna wajinga wanasema wazungu wana mipango ya kutuua Waafrika
Jinga wewe. Unatumia akili ya wapi? Nasisistiza sana, mzungu hampendi mwafrika hata kidogo.

Huyo mama ametafuta kiki tu. Sitakaa nimwamini mzungu hata anipe sanduku la dola.
 
Jana kuna mshenzi mmoja kapiga mbwa wangu mguu..mbwa akawa anachechemea..jiran yangu raia wa ujeruman ni daktar wa mifugo..ana deal na mbwa tu..nikampeleka pale..ile kufika na jamaa akamuona mbwa akamshika..akamlaza kitanda huku akitamka ooh bby what happened to you...akamchoma sindano..akamtundika drip....akampa tiba ya daraja la kwanza..leo asubuhi kaja kumjulia hali..wazungu wema sana...
Unadhani huyo ni daktari wa mifugo kweli? Au yuko kazini kwa kazi maalum alizopewa na wakubwa wake? Unamwaminije mzungu? Unakumbuka story ya chanjo kwa akina osama bin laden?
 
Jinga wewe. Unatumia akili ya wapi? Nasisistiza sana, mzungu hampendi mwafrika hata kidogo.

Huyo mama ametafuta kiki tu. Sitakaa nimwamini mzungu hata anipe sanduku la dola.
Usijikaze sana kujitetea utaharisha
 
Unamkumbuka huyu mtoto? Mwaka 2015 aliokotwa Abuja Nigeria akiwa na utapiamlo mkali. Wazazi wake walimtupa wakihisi wamezaa jini.

Raia mmoja wa Norway Anja Ringgren Lovén alimuokota, akamuogesha na kumpeleka hospitali. Akapata matibabu kisha akarudi kuishi nae. Akamlisha vyakula vyenye virutubisho ili kuondokana na utapiamlo mkali aliokua nao.

Mwaka 2017 katika ukurasa wake wa Facebok Anja aliandika maneno haya (nimefanya tafsiri isiyo rasmi);

"Siku ile nilipomuona huyu Malalika aliyetelekezwa niliumia sana. Nilipombeba ktk viganja vyangu nilijua kabisa HATAPONA. Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu nilipoteza matumaini ya uhai kwa mtu niliyeamua kumsaidia.

Alisimama kwa shida, alipumua kwa shida, alikula kwa shida. Hata alipolia sauti ilitoka kwa shida. Kila kitu kwake kilikua shida. Kwahiyo nilijua atakufa. Lakini sikutaka afe kama mnyama. Sikutaka afe bila utu. Sikutaka afe bila jina.

Nikaamua kumpa jina. Nikamuita HOPE. Neno Hope kwangu ni la pekee. Miaka mingi iliyopita nilichora "tatoo" yenye neno HOPE mikononi. Sijaifuta hadi leo. HOPE kwangu inamaanisha.

H- Help
O- One
P- Person
E- Everyday

Kwa muujiza wa Mungu Hope alipona. Picha ya kwanza kushoto ni wakati ameokotwa. Inayofuata ni 2017 akiwa ameanza shule. Picha ya 3 kushoto ni mwaka 2018, Anja alipost kuonesha maendeleo ya Hope tangu alipookotwa hadi wakati huo. Na picha ya mwisho kulia ni December 2020 Hope akiwa nyumbani kwa Anja anapolelewa.

Kuna mengi ya kujifunza kwenye kisa hiki. Unajisikiaje ukitupia chakula mbwa wakati watoto wa jirani yako wanashindia uji wa chumvi? Unajisikiaje kila weekend unafuja hela kwenye kumbi za starehe wakati kuna ndugu yako anakufa kwa kukosa elfu 10 ya matibabu?

Mungu anapokubariki sio kwamba wewe ni bora kuliko wengine. Anakubariki ili ubariki wengine. Tunapotafakari kisa cha Anja na Hope tuendelee kukamilisha ujenzi wa nyumba ya Penina. Wewe unayesoma ujumbe huu ndiye Anja wa kuikoa familia ya Penina itoke kwenye zizi wanaloishi kama wanyama, na wawe na makazi bora.

View attachment 1714402
I miss u my sister from another mother.

Huyu dada nimemfuatilia sana binafsi naona ana utu kuliko wanakesha kanisani na msikitini. Anavyowapenda watoto hawa wanaonyanyasika kwa imani za kishirikina loh Mungu atupe mioyo hii kwa nafasi zetu tu.

Nimeona centre yake imekuwa kubwa japo walianza kwa dhiki na shida sana .

This is humanity
 
Alafu akiwa mkubwa usishangae huyo huyo mzungu akamzalia kabisa
 
Nacho shindwa kuelewa hata kwenye nyumba za ibada Kuna sadaka zinahifadhiwa lakin ukienda kulia shida hawakupi msaada wanasubiri siku ya ibada ifike ndo wakutangaze ili usaidiwe
 
Dada ana tatoo mwili mzima lakini ana moyo wa kipekee pengine kuliko wale wanaohisiwa kumpenda Mungu sanaaa.

NB
"life style ya mtu sometimes haihusiani na kilicho ndani ya moyo wake na ukimuona mtu mcha Mungu sana haimaanishi ana hofu ya Mungu au ni mtu bora zaidi kuliko wengine,
Kiufupi Don't judge people unless you know them especially their story".
Hakika mkuu
 
Mbona kama hizo picha siyo. Hiyo ya kwanza aliyodhoofu afya anaonekana kama binti. Mtoto wa like. Hizo nyingine anaonekana kavulana.

Labda macho tangu.
 
Unamkumbuka huyu mtoto? Mwaka 2015 aliokotwa Abuja Nigeria akiwa na utapiamlo mkali. Wazazi wake walimtupa wakihisi wamezaa jini.

Raia mmoja wa Norway Anja Ringgren Lovén alimuokota, akamuogesha na kumpeleka hospitali. Akapata matibabu kisha akarudi kuishi nae. Akamlisha vyakula vyenye virutubisho ili kuondokana na utapiamlo mkali aliokua nao.

Mwaka 2017 katika ukurasa wake wa Facebok Anja aliandika maneno haya (nimefanya tafsiri isiyo rasmi);

"Siku ile nilipomuona huyu Malalika aliyetelekezwa niliumia sana. Nilipombeba ktk viganja vyangu nilijua kabisa HATAPONA. Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu nilipoteza matumaini ya uhai kwa mtu niliyeamua kumsaidia.

Alisimama kwa shida, alipumua kwa shida, alikula kwa shida. Hata alipolia sauti ilitoka kwa shida. Kila kitu kwake kilikua shida. Kwahiyo nilijua atakufa. Lakini sikutaka afe kama mnyama. Sikutaka afe bila utu. Sikutaka afe bila jina.

Nikaamua kumpa jina. Nikamuita HOPE. Neno Hope kwangu ni la pekee. Miaka mingi iliyopita nilichora "tatoo" yenye neno HOPE mikononi. Sijaifuta hadi leo. HOPE kwangu inamaanisha.

H- Help
O- One
P- Person
E- Everyday

Kwa muujiza wa Mungu Hope alipona. Picha ya kwanza kushoto ni wakati ameokotwa. Inayofuata ni 2017 akiwa ameanza shule. Picha ya 3 kushoto ni mwaka 2018, Anja alipost kuonesha maendeleo ya Hope tangu alipookotwa hadi wakati huo. Na picha ya mwisho kulia ni December 2020 Hope akiwa nyumbani kwa Anja anapolelewa.

Kuna mengi ya kujifunza kwenye kisa hiki. Unajisikiaje ukitupia chakula mbwa wakati watoto wa jirani yako wanashindia uji wa chumvi? Unajisikiaje kila weekend unafuja hela kwenye kumbi za starehe wakati kuna ndugu yako anakufa kwa kukosa elfu 10 ya matibabu?

Mungu anapokubariki sio kwamba wewe ni bora kuliko wengine. Anakubariki ili ubariki wengine. Tunapotafakari kisa cha Anja na Hope tuendelee kukamilisha ujenzi wa nyumba ya Penina. Wewe unayesoma ujumbe huu ndiye Anja wa kuikoa familia ya Penina itoke kwenye zizi wanaloishi kama wanyama, na wawe na makazi bora.

View attachment 1714402
Inatia uchungu sana
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
aiseee dunia inazidi poteza watu wenye roho na moyo kama wa huyo mwana mama Mungu ampatie maisha marefu na yenye baraka tele.Ila tukumbuke hata sisi tunaweza fanya kitu chema zaidi.
 
Back
Top Bottom