unamkumbuka huyu mchizi?

nadhani nilimuona pale avalon cinema during early 90's in a movie called "phantom soldier"
 
Hahaha bill duke jamaa hatari balaa uso mbuzi mwanzo mwisho.
Mwenye picha ya jamaa akicheka aweke jamani
 
Mmh! Mie enzi hizo sijaja mjini. Ila ungeniuliza ni nani mi ningesema ni Nduhai maana wanafanana kwa mbali kdg
 
zile movie za zamani na za sasa zipi unaona nzuri?
 
Hivi huyu jamaa bado yupo hai tu, nilisikia kama amekufa huyu?. Au huyu sie yule alie act Iddi Amini Dada! Last King of Scotland, Field Marshal, Comandoo, Kamanda, Mkuu wa Majeshi etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…