Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 20,716
- 45,115
- Thread starter
- #21
Na siku zote nguvu ni kitu cha kuisha.Wakati ukuta
Na siku zote nguvu ni kitu cha kuisha.Wakati ukuta
R.i.p LufufuHuyu Mniga si ndio alipoliona jini akawa anaachia njugu kwa ule mjegeje wak3 unaitwa kata miti huku akipiga kelele "Nimelionaaaaa"
Mungu amrehemu Lufufu Mukandala hakika alituburudisha kwa namna ya kipekee.
Yap alivyoingia Show Room akatoka na gari kwenye kiooo 64 ImpalaPia aliekti na Arnold kwenye movie ya Commando akiwa kama adui
Long tym sana mkuu 1987 hiyo.Dah siyo mchezo!!!
Hivi vichwa vilikuwa matata sana mkuu ila mmemsahau mdau huyu muhimu kwenye movie ya predator Kevin Peter Hall jamaa alikufa 1991 kwa HIVLong tym sana mkuu 1987 hiyo.
duh kitambo sanaKelvin Peter Hall - Jini - Alikufa kwa Ngoma mwaka 1991,Jamaa alikuwa Tall Sana.
Ni commando au predator..Huyo anaitwa Billy Duke kipara,namkumbuka sana kwenye movie ya Commando ya Anold Schwaznigger...jamaa ni mweusi kama mjaluo wa Rorya!