Unamkumbuka Bill Duke?


Gonzalo Miguel

Gonzalo Miguel

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2018
Messages
323
Likes
201
Points
60
Gonzalo Miguel

Gonzalo Miguel

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2018
323 201 60
Daa!! Movie ya Predator ya Anord Schwaznigger ilinitesa hi uv kwa kwel....kila nikiotea ipo mwishon kweny cast naanza nayo mwanzo mar kumbe cna naul ya bandaumiza nilkuw naishia kusimuliwa kuus uyo jamaa...cku nilpo icheck complete nilsema Ndagha tata ghwisile!!!😂
 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
31,010
Likes
11,939
Points
280
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
31,010 11,939 280
Kelvin Peter Hall - Jini - Alikufa kwa Ngoma mwaka 1991,Jamaa alikuwa Tall Sana.

 
Swahili Ambassador

Swahili Ambassador

Senior Member
Joined
Feb 18, 2018
Messages
178
Likes
183
Points
60
Swahili Ambassador

Swahili Ambassador

Senior Member
Joined Feb 18, 2018
178 183 60
Huyu Mniga si ndio alipoliona jini akawa anaachia njugu kwa ule mjegeje wak3 unaitwa kata miti huku akipiga kelele "Nimelionaaaaa"
Mungu amrehemu Lufufu Mukandala hakika alituburudisha kwa namna ya kipekee.
 
FORTALEZA

FORTALEZA

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Messages
1,734
Likes
2,575
Points
280
FORTALEZA

FORTALEZA

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2017
1,734 2,575 280
Huyo anaitwa Billy Duke kipara,namkumbuka sana kwenye movie ya Commando ya Anold Schwaznigger...jamaa ni mweusi kama mjaluo wa Rorya!
Hahaha hilo jina kipara kwa hisani ya Captain Derick Gasper Mkandala Lufufu
 

Forum statistics

Threads 1,235,314
Members 474,525
Posts 29,218,006