Habari za jioni wana jamvi....leo katika pekuapekua yangu ya filamu za kihindi za wakati huo nimekutana na filamu inaitwa ROHA...Nikaona sio mbaya tukikumbushana mtu mmoja anaekwenda kwa jina la AMRISH PURI...je una hisi katika kizazi hiki cha filamu za kihindi anaweza akatokea mtu kama AMRISH PURI tena?....
Duh jamaa aki act adui hakuna anaemfikia ila kuna movie jina agneepath muigizaji sanjay dutt aliact adui duh hatar anaweza kucheza vizur akijitahid ila hamzidi amrish
Duh jamaa aki act adui hakuna anaemfikia ila kuna movie jina agneepath muigizaji sanjay dutt aliact adui duh hatar anaweza kucheza vizur akijitahid ila hamzidi amrish