Daata
JF-Expert Member
- Dec 24, 2012
- 4,756
- 2,054
Na ukiwapa ubwabwa ndio umemaliza kazi utawadanganya upendavyo.
Hahaha!!
Nimeipenda hii:thumbup:
Na ukiwapa ubwabwa ndio umemaliza kazi utawadanganya upendavyo.
Hii ni sawa na kujadili maini ya nguruwe eti waislam msile! kwani hiyo nyama yake imeruhusiwa? unatahadharisha neno lililopo kwenye wimbo kwani uislam unasema nini juu ya nyimbo?
Maini ya nguruwe hayaruhusiwi kuliwa muislam kwani nayo ni sehemu ya nyama iliyoharamishwa.
Lakini mchuzi wa nguruwe ni ruksaaaa kuunywa kwani mchuzi sio nyama.
hii kaliMaini ya nguruwe hayaruhusiwi kuliwa muislam kwani nayo ni sehemu ya nyama iliyoharamishwa.
Lakini mchuzi wa nguruwe ni ruksaaaa kuunywa kwani mchuzi sio nyama.
yakupasa kuwa na ufahamu kwa kile unachokiongea au kukiandika maana usije ukawapotosha wale wanaokuamini.....