Unamjua...?

Unamjua...?

Ston Merchant

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
393
Reaction score
105
Baba: Unamjua Anna Makinda mwanangu?

Mtoto: Hapana Baba

Baba: Pumbavu sana, kuwa makini na habari za kijamii haswa kufatilia Bunge

Mtoto: Baba unamjua Godfrey..?

Baba: Simjui

Mtoto: Na wewe pumbavu, kuwa makini na mama shauri yako

hpo vp?
 
loh lazima uumpe mtoto kibano ili akueleze vizuri.
 
Back
Top Bottom