Sikonge
Platinum Member
- Jan 19, 2008
- 11,635
- 6,238
Inasemekana alikuwa akitumia Wanafunzi wa Chuo Kikuu kufanya kazi na majaribio na yeye anakuja kudai ni MALI yake. Ndiyo maana akazusha ugomvi mkali sana na Hooke. Walikuwa wakioneana wivu mno hawa wakali na wote walikuwa Waalimu wa University.....
Isaac Newton was lucky. His friend had asked Newton if he had a theory of gravity. Newton said yes, but then he had lost his notes. So he wrote the whole theory again. It became Principia Mathematica. It changed the world.