Unamjua Ninani huyu???

Unamjua Ninani huyu???

Chibudee

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2016
Posts
1,775
Reaction score
2,408
Chemsha bongo nitajie

Jina la huyu mtu ktk picha
f77742861ab7f5de823e1aed4c2542d7.jpg
 
Chemsha bongo nitajie

Jina la huyu mtu ktk picha
f77742861ab7f5de823e1aed4c2542d7.jpg
Maalim Seif enzi hizo akiwa Waziri Kiongozi wa SMZ. Nakumbuka miaka hiyooo nikienda uwanja wa Taifa kushuhudia sherehe mbalimbali nilikuwa nikimshangilia sana wakati anaingia uwanjani.
 
Back
Top Bottom