CAG wa buza
Member
- Apr 2, 2023
- 13
- 32
Akikuulza" Namba yangu umepata wapi?" Unajibu vipi km mwanaume ambaye hutaki kumchoma aliyekupa namba?
Hii nmeichukuaMtumie tu pesa wala hatorudia tena kukuuliza ulikotoa number Yake.
The success rate of this trick is100%
Kuanzia tsh ngp?Mtumie tu pesa wala hatorudia tena kukuuliza ulikotoa number Yake.
The success rate of this trick is100%
Kuna nini mshamba_hachekwi
jibu post hiyo.....Kuna nini mshamba_hachekwi
Akikuulza" Namba yangu umepata wapi?" Unajibu vipi km mwanaume ambaye hutaki kumchoma aliyekupa namba?
Aah mrembo kama wewe nitakosaje simu jmn?...nimejibu mkuujibu post hiyo.....