Yes mkuu.
Haitakiwi kumuacha mwanamke eti kwa sababu tu sasa hivi unashangaa ulimuoaje.jaribu kumvumolia kila kasoro yake ikiwa tu una hakika hachepuki na haonyeshi tabia mbovu.
Ukimuacha mmoja hata wa pili atakuwa na kosoro.
Pia kumuacha kwa ajili ya kasoro fulani ya kimaumbile ni kujitengenezea saikolojia yako kwamba huwezi kuishi na aliye na vikasoro fulani fulani.kwa hyo unakuwa upo kwenye zoezi la kujitengenezea ubinafsi bila mwenyewe kujua.
Ila ukiwa unapotezRSSa mapungufu ya kiubinadamu na kimaumbileeee basi unajitengenezea mazingira ya kuweza kuishi na mwenye mapungufu.
Asante