Unamiliki nini katika Umri huu?

Nina 30, namiliki nyumba mbili moja ipo Kibaha kwa Mathias, nyingne ipo Morogoro nane nane, nina gari nne (ranger nyeusi, harrier, noah na spacio), sina mke, sina mtoto, sasa hvi najenga ghorofa moja Kimara, nina mashamba ekari 22, nina biashara yangu kubwa tu ambayo inasogeza siku, ni machine za kusaga za kukoboa, nina viwanja viwili. Katika elimu nina degree moja, na sasa hivi ninatarajia kusoma masters kwa ajili ya sifa tu, si unajua sisi wahaya. Ni hayo tu.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…