Serikali ilishaona hali kule sio shwari ndio maana mpaka sasa ndege zetu bado haziruhusiwi kwenda SA...
Dash kumbe ! Kwahiyo itabidi nitafute job kwenye mashirika kwanza?Hats ungekuwa na degree gani huwezi kuajiliwa kazi professional mpaka itangazwe gazetini miezi 6 ikose MTU ndio uchukuliwe mgeni. Kwa kifupi sahau hilo.
Wageni wanaofanya kazi professional pale wamechukuliwa kutokea nchi zao, mfano Mwamvita Makamba na Vodacom yake na makampuni yote international ambayo mfanyakazi anaweza kupangiwa nchi yoyote head office au branch yoyote nchi yoyote zilipo office za kampuni husika.
Lakini lazima kuwe na sababu, wengi wao unakuta ni jobless sasa wataishije kama sio kufanya illegal activitieswabongo nilioshudia wakiuwawa nikiwa kule sio chini ya 5 ndani ya miaka 3 niliyokaa kule.
Yani walivyo sasa,hata awe anakuzidi nguvu Mara mia,haweze pigana nawewe bila kisuHayo maelezo ni fact bila chenga, nimekaa na wale jamaa nawajuwa vizuri.
Nyuma ya shingo kuna mishipa very sensitive, kikigusa kisu tu umekwisha.
Kuna ile nadharia ya ukifa bongo unazaliwa sehemu nyinge. Pengine kabla hujazaliwa hapa alikuwa jrani yako hata huko Djibout mkuuHa ha ha ha mkuu nimecheka sana....huyu dogo kiukweli Sura sio ngeni ila tu kumbukmbu zinakataa yahn ila sura inakuja kabisa yhn
Tema mate chini, shukuru Mungu kama maisha yako yana unafuu, Bongo ni Jehenamu ndogo.Afu bado kuna vijana wajinga kabisa wanaendelea kwenda huko wakati hawana pa kufikia wala wanaefaham huko
Good luck, lakini jikite kwenye kubuni biashara au miradi utatoka siyo lazima kuajiriwa.Dash kumbe ! Kwahiyo itabidi nitafute job kwenye mashirika kwanza?
Hatari mkuu jamaa namjua sana na shughuli zake alikuwa anaganyia hapa ninapoishi Capetown[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji848][emoji116][emoji116]
Ni mtanzania huyo jamaa?Kuna jamaa juzi kati wameingia ndani wakampiga nyundo kichwani akiwa amelala,sijui wameshamzika!!!?
Kweli kaka yangu mwaka jana alipigwa kisu cha shingo huko SouthWazulu huwa hawajeruhi, wanajuwa kuitumia 9mm kiufasaha, risasi zao huwa wanapiga moyo au kichwani, na kama ni shambulio la visu vyao vya Okapi wanapiga nyumba ya shingo kwenye mishipa ya nervous.
NimrundiNi mtanzania huyo jamaa?
kwa sababu katoboa sikioJamani, mbona kavaa hereni?
au Papu New GuineaHujatembea bado, ukifika Scotland utavaa mpaka sketi.
Pole sana!!!alikuwa akifanya shughuli gani huko na nini kilipelekea akapata na hilo tukio?Kweli kaka yangu mwaka jana alipigwa kisu cha shingo huko South
huyo shibekijijini alishapotea mazima dahWa SA wanapenda sana kuuwa kwa kuwa sheria zao haziruhusu kunyongwa kwa mauaji ya kudhamiria.....
Nina swali sio shibekijijini huyu jameni!!!?