Unamfahamu huyu?

technically,
Kumbe ile chuki ulizonazo zinatokana na ukaaji wako na kusoma SA!!!! Am sorry kijana wa kiume kuvaa hereni kwa upande wangu mh
 
Angeitwa Temu au Masawe siajabu usingeandika ulivyoandika, usihukumu bila ya kujua, haujui kwa nini kapigwa na risasi.
WEWEMATdv,xm,.m.,vcfdkskrk,m,f;.l,V>,lk,gj.,czmf,m,g,m,d.lmgkhjfvAKOWACHAGAWALIKUKULAPADOGOAUds;lk,
 
Hivi huko mpaka sasa wanaenda kufanya nini? Nchi bado haijatulia hiyo. Bakini tu hapa nyumbani kwa muda,limeni hata mihogo ya kuzugia kwa muda mkisubiri kutulie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…