unamchukuliaje mtu mwenye dread kichwani…?!!

Kwani mwanaume kuvaa hereni, ki maadili ikoje?
 
 
 
1. Kwanini umeweka picha za hao island boys? Hizo zao si hata locs, in madude tu kichwani.

2. Watu Wenye locs tuna tabia tofauti tofauti. Wahuni wastaarabu, wote wamo.
Nywele hazitupi uniformity yoyote kitabia.
Wamepata fame kizembe Sana ani kizazi cha kina 69 upuuzi mtupu .
 
Ilivyozoeleka kijamii ni uhuni /Tania Mbaya ila Mimi siishi kimazoea.
Ninao Wana mabrothers Wana dreads ila ni wastaarabu na Wana heshima mno.
Uhuni upo rohoni siyo nje.

Ila hai island boys watoe
 
Kimaadili haileti picha nzuri labda kama upo katika zone ya kimasai
Khaaaah ko masai wa kiume ni halali kuvaa hereni? Ila wa zone nyingne ni tatizo?

Kupatwa kwa maadili woiiiiiiih
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…