Kwa pesa au bure
bure, lichukue ni lako kuanzia sasa!
Mmmh! Kuna kitu cha bure cku hzi?
Kwa pesa au bure
Kwa pesa au bure
Kama ukipewa bure kuwa makini
Mwenye nalo anakaa Mombasa amesema atakupa bure.
Kama ukipewa bure kuwa makini
Mwenye nalo anakaa Mombasa amesema atakupa bure.
Utatakiwa rudisha gharama indirect