Wilbert1974 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2011 Posts 1,632 Reaction score 481 Feb 3, 2013 #1 ...Songa kule unalima jani, unadai ni maua!
M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 365 Oct 5, 2014 #2 Ama kweli masikini haokoti na akiokota huambiwa kaiba ona ndugu wetu yulee na pingu
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Oct 5, 2014 #3 Dawa nzuri sana hiyo ya cancer pressure, stress, woga, uvivu, appetite, ngufu sa jinsia, kuongea kiingereza, ndoto za alinacha nakazalika
Dawa nzuri sana hiyo ya cancer pressure, stress, woga, uvivu, appetite, ngufu sa jinsia, kuongea kiingereza, ndoto za alinacha nakazalika
20PROFF JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 8,217 Reaction score 7,263 Oct 5, 2014 #4 Yani timu yotee hii imeenda kukamata watu wawiliiiiiii?
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Oct 6, 2014 #5 merengo90 said: Yani timu yotee hii imeenda kukamata watu wawiliiiiiii? Click to expand... Halafu na kimche hicho kimoja cha jani, naona hii picha wakiiona wajamaica watacheka sana kama sio kuandamana
merengo90 said: Yani timu yotee hii imeenda kukamata watu wawiliiiiiii? Click to expand... Halafu na kimche hicho kimoja cha jani, naona hii picha wakiiona wajamaica watacheka sana kama sio kuandamana
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Oct 6, 2014 #6 Wilbert1974 said: View attachment 81744 ...Songa kule unalima jani, unadai ni maua! Click to expand... yaani kamche kamoja tu ndio wamemtoa bila hata shati na viatu....?
Wilbert1974 said: View attachment 81744 ...Songa kule unalima jani, unadai ni maua! Click to expand... yaani kamche kamoja tu ndio wamemtoa bila hata shati na viatu....?