Unalijua hili tunda?

ivi kwani ni tunda moja hili??
hapa itabidi twende hebarium kuuliza sijui mzee Seleman yupo atusaidie kupata ufumbuzi??

Mkuu mzee Seleman wa wapi huyo?
 
Stafeli nalipenda sana hususan harufu yake

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Juice ya stafeli ni nzuri sana wapemba ndio watengenezaji sana wa juisi hii,hapo zamani kulikuwa na kiosk cha juisi pale karibu na msikiti Magomeni Mwembechai walikuwa wantengeneza sana kwa sasa sijui kama wapo loo nimetamani sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…