Unalijua hili tunda?

Unalijua hili tunda?

Nina project ya kupanda miti ya matunda haya ila silijui soko lake exactly! Pia shambani kwangu ukija utakula futari ya mishelisheli kwa wingi nimeipanda. Karibuni sana!
 
Nina project ya kupanda miti ya matunda haya ila silijui soko lake exactly! Pia shambani kwangu ukija utakula futari ya mishelisheli kwa wingi nimeipanda. Karibuni sana!

Mkuu nadhani haya matunda ni wengi tunayapenda, fanya kaka utaona faida nyingi
 
Linaitwa stafeli nalinaliwa likiwa limeiva na jeupe likiwalimeiva na ili kujua limeiva hua linabonyea na rahis kulimega kwa mkono
 
kweli kaka topetope haliko ivo. hili ni STAFELI

inawezekana liaitwa topetope kwa sehemu aliyopo, inategemeana na sehemu.
mfano:
songea hilohilo stafeli linajulikana kama topito
mbeya parachichi linaitwa takapela na watu wengine wanajua ndo kiswahili
 
Nadhani limeshajulikana na wengi wamesema linaitwa stafeli......Ndugu mtafiti, kitu gani kinalifanya hilo tunda liwe ndo stronger killer of cancer than other fruits? What kind of components are there?
 
Back
Top Bottom