unaleta ujuaji hapa!!!!....

mysteryman

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
977
176
Afisa m1 kaenda kwenye shamba la miti kukagua. Msimamizi akamwambia usiingie sasa hivi! kabla hajafafanua yule Afisa akatoa kitambulisho cha kazi 'we nani wa kunizuia na hiki kitambulsho?'' Jamaa akamwambia pita. Kupita tu akaanza kupiga makelele: nyukiiiii! nakufaaa nyukii nisaidie,! Jamaa akamjibu Waoneshe Kitambulisho hao!
 
Nimeipenda hii!hapo inaonyesha tusiwadharau wenzetu kisa ww bosi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom