Unalalaje?

Nimeshamuadd kwenye Ignore list yangu kwahiyo sitalajii kuonana nae for my entire life. haiwezekeni mtu awe refa yeye halafu anataka na yeye acheze humo humo!
 
Nimeshamuadd kwenye Ignore list yangu kwahiyo sitalajii kuonana nae for my entire life. haiwezekeni mtu awe refa yeye halafu anataka na yeye acheze humo humo!
Mbaya zaidi analazimisha wachezaji na wengine na mashabiki wote kumshabikia mchezaji anayemtaka yeye. Sijawahi ona hii kitu ila kwa jf tu. hawa ndo watakaoua jf.

tatizo hawa watu wanajiona kama miungu fulani hivi.
wako radhi hata kupindisha kile walichokiweka kwa manufaa yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…