Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 5,845
- 10,070
- Thread starter
-
- #81
Kwa sababu kuna mwanaume mwenzangu hapa jirani alikuwa anakimbizana nyuma nyuma kama mkia kumfuata binti ambaye hana muda naye, kitendo kimenishikisha hasira sana. Anaudharirisha uanaumeUmeongea kwa hasira sana mkuu
Kabisa mkuu, vijana wamekua wajinga sana wao wanawaza chini tu utadhan mamb mengn hakuna ya kufnyNa kweli mkuu, ni vyema kukumbushana sisi kama wanaume. Mambo ni mengi, hivyo sometimes tunajisahau kupitiliza
Kwani Kuna uhusiano Kati ya upungufu wa nguvu za kiume na utajiri?Na kuunga mkono katika hilo,hamna mwanaumme yoyote mwenye maono na focused kwa future na maendeleo anae weza kuenda zaidi ya round 3, na mwana umme kwa kutumia zaidi na lisaa na kubadili ditaili mbalimbali.
Ukiona mwana umme iko hivo na ni tajiri jua mali alio nao ni ya urithi au wizi au kapewa kirahisi hakuitafita mwenyewe kupenda ngono hakushabikiane na akili za kupata kabisa ni sie masikini tunao waza ngono na kupoteza mda kuwaza wanawake, eti tunatafuta nguvu za kiume kuwaridhisha wake zetu, loh umasikini ni mzigo.
Ujumbe kuntu kabisa huu π―π€π€£π€£π€£Endelea hivyo hivyo siku ukianza kutombewa manzi yako na wachoma chips na waendesha boda boda au wapambanaji km wakina Mzee wa kupambania usiache kutuletea mrejesho, watu km nyinyi ndio mnaishia kutombewa alafu mnaenda kuwachoma wenzenu mabisu kwa sababu ya wivu na chuki za kijinga,
Pen's Dawn