Unakumbuka wapi katika picha hii.

Nakumbka boarding,though mimi hii kitu nilikua situmii kabisa, nilionekana siku za ugali samaki or ugali nagaa,na za wali tu
 
Kiukweli humu tunavimba na ID fake tu ila wengine ni vitoto balaa.. ww wakati unaandika mtihani miaka karibia muongo ndo tukaja duniani..

Shikamo baba 🙂🙂
Ukitaja jina hili nakumbuka 1987 kidato cha pili huzami kwenye paper ya form two kama huna kadi ya umoja wa vijana yachama na kuna mtu yupo mlangoni kama huna kadi unauziwa iliniuma sana hela yangu sh.600/=
 
Hahahaaa.....maisha ya boarding yana raha yake bhana.........
 
Shule Ya Ufundi na Sekondari Moshi PCM 2005-7 hiyo iliitwa "Benga" na nilikuwa nalijaza uji saa nne nikirudi Class ni usingizi tuu. Hamna walimu sasa nifanyaje?
 
Ndanda boys high school....Masasi Mtwara
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…