Unakumbuka wapi katika picha hii.

2012-2014 PCB
Duuuh.....sawa, ndo 'A' level ya mchanganyiko au boys tupu?

Nadhani na mimi ni chuma chakavu, kwa miaka hiyo nadhani nilikuwa nahangaika maisha.
 
Boarding school hiyo sitosahau siku kitu kitu maharage imetiwa kwenye kontena na dona kama hivo ulivo tia kucheck unakuta funza wanaelea

jamaa wametia dona ndani imeharibika wanaona hatari kuitupa hivo wakaanza kutu mixia
 
Da ulaji ule ni Mungu tu alikuwa anatulinda hamna afya hapo
Lakini Headmaster Shirima wetu alitetea kwamba huo ni mlo kamili
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…