Unakumbuka? T.B Joshua alikuja Tanzania baada ya uchaguzi na kutembea peku ikiashiria utawala uliokosa kibali cha Mungu!

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,009
20,684
Mara baada ya uchaguzi mkuu,T.B Joshua alikuja Tanzania,na mara alipofika uwanja wa ndege,alishuka akiwa pekupeku,hakuvaa viatu

Tajiri huyo bilionea na muhubiri maarufu,si kwamba hakuwa na hela ya viatu,la hasha,ni bilionea

Kuvaa viatu ni ishara ya hasira ya Mungu kwa mujibu wa maandiko,na si Mara moja katika biblia manabii walivaa magunia wakiashiria kwamba Mungu hajaridhika na mambo yalivyokwenda au yanavyokwenda

T.B Joshua alishuka kwenye ndege akatembea peku ikiwa ni ishara kwamba nchi itakumbwa na mambo mabaya kutokana na uchaguzi uliofanyika

Haya kazi kwako kichanganua,fukuza fukuza watumishi,marisasi na bunduki,shida za wafanyabiashara,bomoa bomoa.........mengine ongeza
 
Hujui sababu iliyo mleta na hujui nani alimleta na hujui kwa nini alikuja.

Unaibuka tu na vijisababu vyako vya hapa na pale, acha kumchafua mtumishi wa MUNGU kwa haya uliyo yaandika hapa,ukiwa mstaarabu nenda kaombe msamaha.

Na ikiwa wewe unalijua neno basi najua unajua nini kikupasacho kufanya na kutenda.

Pope John Paul kissed the land na alisujudu huko SONGEA.
 
Na waislam wanaoingia msikitini bila viatu unawaambia nini?
 
TB Joshua ni mmoja qa matalel wanaoaumbua ulimwengu. Kifupi tu ni kuwa, alikuwa anatekeleza masharti ya mganga wa nigeria.

Kumbuka hata mpoto havai viatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…