chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 11,955
- 20,525
Mara baada ya uchaguzi mkuu,T.B Joshua alikuja Tanzania,na mara alipofika uwanja wa ndege,alishuka akiwa pekupeku,hakuvaa viatu
Tajiri huyo bilionea na muhubiri maarufu,si kwamba hakuwa na hela ya viatu,la hasha,ni bilionea
Kuvaa viatu ni ishara ya hasira ya Mungu kwa mujibu wa maandiko,na si Mara moja katika biblia manabii walivaa magunia wakiashiria kwamba Mungu hajaridhika na mambo yalivyokwenda au yanavyokwenda
T.B Joshua alishuka kwenye ndege akatembea peku ikiwa ni ishara kwamba nchi itakumbwa na mambo mabaya kutokana na uchaguzi uliofanyika
Haya kazi kwako kichanganua,fukuza fukuza watumishi,marisasi na bunduki,shida za wafanyabiashara,bomoa bomoa.........mengine ongeza