Unakumbuka? T.B Joshua alikuja Tanzania baada ya uchaguzi na kutembea peku ikiashiria utawala uliokosa kibali cha Mungu!

TO Joshua alimtabilia Lowasa urais vp aliupata? Huyo huyo Tb Joshua alimtabilia Hilaly Clinton urais wa Marekan vp aliupata? Huyo jamaa ni mpiga ramli kama waganga wa kutoka Sumbawanga na Kigoma tu
 
Mara baada ya uchaguzi mkuu,T.B Joshua alikuja Tanzania,na mara alipofika uwanja wa ndege,alishuka akiwa pekupeku,hakuvaa viatu

Tajiri huyo bilionea na muhubiri maarufu,si kwamba hakuwa na hela ya viatu,la hasha,ni bilionea

Kuvaa viatu ni ishara ya hasira ya Mungu kwa mujibu wa maandiko,na si Mara moja katika biblia manabii walivaa magunia wakiashiria kwamba Mungu hajaridhika na mambo yalivyokwenda au yanavyokwenda

T.B Joshua alishuka kwenye ndege akatembea peku ikiwa ni ishara kwamba nchi itakumbwa na mambo mabaya kutokana na uchaguzi uliofanyika

Haya kazi kwako kichanganua,fukuza fukuza watumishi,marisasi na bunduki,shida za wafanyabiashara,bomoa bomoa.........mengine ongeza

kuna vitoto kibao vitakatifu mtaani vinatembea peku
 
Who is TB Joshua????? kwani yeye ni MUNGU????? Acha upuuzi wewe
 
Nakumbuka sana Mkuu..

Ile haikuwa ishara njema hata kidogo..

Ndio na mimi nang'amua hivi sasa..

Utawala huu hauna kibali cha Mungu na katu hauotofanikiwa.
Nakumbuka pia kuwa nilisika kuwa alikuwa ndo kwanza alitoka kufunga kwa kusali na kuomba kwa ajili ya amani ya Tanzania. Ndipo akapata mguso wa kuja nchini. Tusimwekee maneno mdomoni ila ukweli anaujua yeye na Mungu wake.
 
Back
Top Bottom