manking
JF-Expert Member
- Feb 8, 2014
- 1,306
- 316
Namkumbuka kiongozi wa bush runners(BISO) katika shule ya sekondari Buswelu iliyopo Mwanza alivyokuwa akitesa watu.
Waalimu, Viranja na wanafunzi walikuwa wanamuogopa sana alikuwa akiitwa Bob Zero. Chakuchekesha mwili wake chaupepo(mwembamba) kama sindano lakini ndio aliwatesa sana pale shuleni, pocket money + hela ya chai lazima achangiwe siku hizi raha sana. Wewe unakumbuka nini?