Kila moja akiwa kwenye timing mode against each other. Business uncertainty to each one.
Wataalam wa karata tatu
Kumbe humu kunawatoto aisee. Nilikua siaminiWalamba asali. Hakuna mtu alinihamasisha kusomea uchumi kama Lipumba tena kipindi niko kidato miaka hiyo ya 2010 kurudi nyuma.
Bora hata sikusoma aseeh.
I am young enough even to understand a fool and rare skunk in JF thinking age will give him respect. BTW am 30+ youngKumbe humu kunawatoto aisee. Nilikua siamini
Unafikiri kwann wanaitwa nyumbu?Kibaya zaidi hamna mlichojifunza mpaka dakika hii.
Michezo ilikua inaenda hiviWataalam wa karata tatuView attachment 3457921
Uraisi hatuwezi kuupata ila tuendelee kutafuna ruzuku ili maisha yaende,au we unasemaje,aisee kweli bwashee,kumbe una akili kama yangu....