Unakumbuka nini, nani na wapi ukisikia maneno haya?

Unakumbuka nini, nani na wapi ukisikia maneno haya?

mh!! hivi jukwaa la kina Ali staki shule ni lipi na la kina john kisomo ni wapi?
 
7dbb34c656b80cd352d3cf04b262e6b2c876d3e9.gif


Copy: Nivea
 
Last edited by a moderator:
asante sana kwakunikwaza nakuimaliza siku yangu vibaya agriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Last edited by a moderator:
Jamani Nivea una matatizo gani na hii makitu. Pokea zawadi yangu kutoka kwa huyo mtoto na siku yako irudi na kua njema..

child-laughing.jpg


asante sana kwakunikwaza nakuimaliza siku yangu vibaya agriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Last edited by a moderator:
ILATE: Huu nakumbuka ulikuwa ufupisho wa stages za Integration by Parts.
 
Habari wana cc,
Naomba tuanze weekend kwa kukumbuka zamani kidogo
1. Hallo Helena Lile Beberu Bora Chinja Na Ondoa Figo Nene, Nani Mgogo Aliyesimama Pale Serengeti Club Arudi Kwao Canada

2. Kofia huuzwa dukani mwa daudi shilingi mia

binafsi nakumbuka primary, na form one form two... karibu muongo na nusu uliopita!
cc😡erickb52. Nicas Mtei, manoah, BAGAH, Kongosho, Mr Rocky et al

Hiyo namba moja inanikumbusha mwalimu wangu wa Kemia, O-Level. Mwalimu mmoja wa Kinyaturu, mkali ajabu na mwenye meno meusi kinywa kizima. Badala ya Hiyo ''Hallo Hellena...'' sisi tulitumia hii:
HH,
LiBeBCNOFNE,
NaMgAlPSCArKC ...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom