Unakumbuka nini enzi hizo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unakumbuka nini enzi hizo?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Feb 12, 2010.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Feb 12, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 41,946
  Likes Received: 37,199
  Trophy Points: 280
  Huu ni wimbo wa siku nyingi kidogo,
  ila nauhakika hapa kuna wengi walikuwa wakiupenda,
  na pia kuna mengi ya zamani utakukumbusha.
  View attachment WIFI ZANGU.mp3
   
 2. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #2
  Feb 12, 2010
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hizi enzi zinanikumbusha ukumbi maarufu wa Lang'ata enzi hizo.
  Tulikuwa tunakunywa sana Pilsner.
  Ilikuwa raha sana enzi hizo.
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Feb 12, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,640
  Likes Received: 625
  Trophy Points: 280
  Bujibuji una mambo wewe
  Kuyasema naogopa
  thanks
   
 4. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #4
  Feb 12, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  naelewa mazoea,yana tabu,nakumbuka vikuku vinanukia ahaaaaaaaaaa*2yekeke mshua yekeyeke
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Feb 12, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,231
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  Kwa mtu kama mimi wimbo huu unanipeleka mbali zaidi yenu wengi!
  Kuna mambo ambayo niliyafanya kipindi hiki ambayo hadi dakika hii bado nasikia mwangwi wake!..Ilikuwa miaka ya 1988/89, kipindi hicho niko Dodoma.
  Anyway, ndo maisha haya!
   
 6. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #6
  Feb 12, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,251
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  Kwani nitagombabishaaa,jamani nifanye ninii ,..kiida nifanye niniii?
   
 7. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #7
  Feb 12, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,251
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  inanikumbusha mziki ulotimia kuanzia ;waimbaji,vyombo na rythim ya mziki wenyewe.
  Kwani kwa sasa baadhi ya vyombo hawavitumii tena na hivyo utamu wake unapungua.
   
 8. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #8
  Feb 12, 2010
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hivi yule mwanamke wa vijana jazz alikuwa anaitwa nani?
  Nana njige , au nimekosea?
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...