Unakumbuka Nin Katika Mwez Wa 12

Mi huu mwez unanikumbusha mambo mengi

Kwanza kabisa mwaka 2000 nilienda songea na ndo ilikua mara yang ya keanza kusikiliza nyimbo za jimmy reeves na nyimbo za extra musica. Huu mwez ukifika huwaga najihisi nipo songea

Nimepanga kila unapofika huu mwezi niwe naenda songea coz unanirusha nyuma kimawazo nakumbuka mambo mengi ambayo nakua nayafurahia sana
 
Back
Top Bottom