Unakumbuka Nin Katika Mwez Wa 12

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
14,905
2,000
Wadau Kwema Nin Unacho Kumbuka Katika Huu Mwez Wa 12

Mwezi Uliijaa Mambo Mengi Zaid

Kikistro Huu Mwez Una Mana Kubwa Sana

Mim Binafsi Nakumbuka Huu Mwez Ukisha Ingia Tareh Kama Izi Mzee Ameshatukatia Ticket Za Kwenda Mosh Mara Nyingi Ni Baada Ya Shule Kufungwa

Hapo Dar Express Itahusika

Ndugu Yangu Wew Una kumbuka Nin katika Mwez Huu
 

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,954
2,000
Huu mwez nakumbuka ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kumubikir msichana

Aisee ilikuwaga noma sana mazee

Ilikuwaga kwenye sikukuu ya krimas tena huyo msichana nilimununuliaga bagia na mandaz ya sh mia sita

LONDON BABY
 

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
14,905
2,000
Huu mwez nakumbuka ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kumubikir msichana

Aisee ilikuwaga noma sana mazee

Ilikuwaga kwenye sikukuu ya krimas tena huyo msichana nilimununuliaga bagia na mandaz ya sh mia sita

LONDON BABY
Hakutumia Uchawi Ndugu Yangu Mana Unanitisha Siku Izi Na Izi Thread Zako
 

Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
54,681
2,000
Huu mwez nakumbuka ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kumubikir msichana

Aisee ilikuwaga noma sana mazee

Ilikuwaga kwenye sikukuu ya krimas tena huyo msichana nilimununuliaga bagia na mandaz ya sh mia sita

LONDON BABY
Lafudhi hadi kwenye kuandika, nyie Wasukuma noma sana.
Demu kagonga maandazi ya 600, hapo ni ungo mzima Na bagia kikosi, lazima akujambie sana ukipiga paipu
 

dirtyboy

JF-Expert Member
Sep 16, 2017
361
1,000
Huwa nazikumbuka message za kuforward ambazo huwa zinanitia hasira muda mwing
 

Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
54,681
2,000
Nimess Christmas cards Na vijizawadi. Dot-com imetupunguzia sana uhondo wahenga
 

dutch2

JF-Expert Member
Sep 20, 2017
1,010
2,000
ndo mwezi niliozaliwa SHORTLY NASHARE MONTH BIRTHDAY NA YESU holly month
nimeanza kupokea zawad
 

definition

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
973
1,000
Mwezi kama huu miaka ya 2012 nmefunga skul nko na wahuni wangu chuga tuna kipiga kamari mishale ya saa 6:15 tuko katikat ya lami..... Mara paaaaaaaaaap PT hiyo katika 1 na 2 wakaanza lala na mm mbele waka acha wenzangu nili kimbia kwa speed ya bombardier kama bahat mbaya nika anguka nka pasuka mfupa wa mkono nakumbuka nili sumbuka na huo mkono nili fanyiwa upasuaji x3 + chuma juu.

Mpaka leo si usahau mwez wa 12.. na ubaya masaa ma chache mama ali nionya swala laku toroka nymban naku tembea na makundi..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom