Yeah si ni kupumuliana tu bcs unampumulia mtoto mwenzako huku hujuwi kwa nini unafanya hivyo.
Yaani bi farkhina kumbe wewe ni mzoefu wa kuolewa? Nakuogopa bibie ila kalmati zako nazihusudu bado.
Hahahaah ile kuolewa ilikua uongo uongo saivi ya kweli lol.....kaimati zipo tele sema lini nkupikie lol mana weye ulipika uji wa kaimati
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Last edited by a moderator: