Kikwetu hii inaitwa OKUCHUMBA CHUMBA!
Kwetu inaitwa mchezo wa baba na mama kwani baada ya kula mnalala na kuanza kupumuliana wakati mmoja akiwa juu ya tumbo la mwenziwe. Ukifika miaka 15 tu unaanza sasa kujishughulisha kisawasawa na vicheche wa mjini au Dodoma kwa dada zake Le Mutuz!
Nakumbukaaaaa kabisa nikichukua mchele jikoni kisha naupeleka unapika kama hivo .tukicheza kibaba na mama..
Mapishi tulianza zamani lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Ha ha ha kumbe na ww ukiiba vitu jikoni,na kupika na kula...tupo wengi wallah....mapishi tulianza zamani kweli
hehehe mi na dada yangu tushawahi kupika wali,mama aliporudi akaanza "nani kawaruhusu?tulichapwa na wali ulikuwa hauliki,....hehehehe namkumbuka my sister (love u my sister)Kwetu tunaita kijungu nje......mie na dada angu tukiichukua vitu ndani tunaiba lol nyanya mchele mafuta tunapika mmoja anapika wali mmoja mchuzi halafu tunakula hahhahaha vinakua vitamu japo haviwivi lol....
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Juu ya tumbo katika age hizo!!!!
Weee nakumbuka nyumbani ukiwa na michezo na watoto wa kiume unakula bakora kisawasawa.....kuna siku nlicheza nkawa bi harusi nkapodolewa mama aliposkia alikuja na bakora nlikoma
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
utoto una raha yake
Naiba hasi nazi ilokunwa naenda pika cha nazi lol vilikua vinanuka moshi lakin unasamehe alichopuka mama wala mapyoro
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums