Bakulutu JF-Expert Member Nov 30, 2011 2,544 1,760 Aug 20, 2016 #2 dexterous said: View attachment 384678 Click to expand... Bakulutu oyeeeee...sikuwepo ila ndio miziki yangu..vitu kama Thereza ya vijana jazz wachaa kabisa
dexterous said: View attachment 384678 Click to expand... Bakulutu oyeeeee...sikuwepo ila ndio miziki yangu..vitu kama Thereza ya vijana jazz wachaa kabisa
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Dec 8, 2010 7,515 6,489 Aug 20, 2016 #3 Duh, mlifaidi sana hasa ukizingatia kipindo hicho neno condom lilikuwa sio kiviiiile. Mimi nilikuwa bado mdogo nisiye kuwa huru kutoka alone.
Duh, mlifaidi sana hasa ukizingatia kipindo hicho neno condom lilikuwa sio kiviiiile. Mimi nilikuwa bado mdogo nisiye kuwa huru kutoka alone.
G Gulwa JF-Expert Member Jun 16, 2008 9,805 14,889 Aug 20, 2016 #4 Nilikuwepo Ila hali sikuwa na uwezo Wa kwenda huko
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 269,641 698,021 Aug 20, 2016 #5 dexterous said: View attachment 384678 Click to expand... Duu wakati huo ugonjwa mkubwa ulikuwa kaswende tiba yake tetracycline
dexterous said: View attachment 384678 Click to expand... Duu wakati huo ugonjwa mkubwa ulikuwa kaswende tiba yake tetracycline
K kiogwe JF-Expert Member Oct 24, 2012 3,749 4,921 Aug 21, 2016 #6 Kumbe humu tuna watoto zetu kabisa
Sky Eclat JF-Expert Member Oct 17, 2012 57,595 215,282 Aug 21, 2016 #7 mshana jr said: Duu wakati huo ugonjwa mkubwa ulikuwa kaswende tiba yake tetracycline Click to expand... Mkuu umewaza nini?
mshana jr said: Duu wakati huo ugonjwa mkubwa ulikuwa kaswende tiba yake tetracycline Click to expand... Mkuu umewaza nini?
Sky Eclat JF-Expert Member Oct 17, 2012 57,595 215,282 Aug 21, 2016 #8 Ninakumbuka pia na wana Bima Lee, Kibisa Ngoma Troupe, King Kiki
sister JF-Expert Member Nov 23, 2011 9,014 6,847 Aug 21, 2016 #9 Enzi hizo mie ndiyo kwanza wazee walikuwa wananigikilia kunizaa......
muhomakilo jr JF-Expert Member Jul 28, 2013 13,464 10,040 Aug 21, 2016 #10 Kipindi ambao kulikuwa na muziki,kila chombo kinasikika,sio siku hizi makelele..
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 269,641 698,021 Aug 21, 2016 #11 Sky Eclat said: Mkuu umewaza nini? Click to expand... nimekumbuka enzi hizo
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Nov 13, 2009 43,703 60,769 Aug 22, 2016 #12 mshana jr said: Duu wakati huo ugonjwa mkubwa ulikuwa kaswende tiba yake tetracycline Click to expand... Tulikua tunaita mafua.
mshana jr said: Duu wakati huo ugonjwa mkubwa ulikuwa kaswende tiba yake tetracycline Click to expand... Tulikua tunaita mafua.