Unakumbuka hii kwa wale wazee wenzangu

Unakumbuka hii kwa wale wazee wenzangu

dexterous

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
2,037
Reaction score
3,149
ImageUploadedByJamiiForums1471686696.989716.jpg
 
Duh, mlifaidi sana hasa ukizingatia kipindo hicho neno condom lilikuwa sio kiviiiile. Mimi nilikuwa bado mdogo nisiye kuwa huru kutoka alone.
 
Nilikuwepo Ila hali sikuwa na uwezo Wa kwenda huko
 
Enzi hizo mie ndiyo kwanza wazee walikuwa wananigikilia kunizaa......
 
Kipindi ambao kulikuwa na muziki,kila chombo kinasikika,sio siku hizi makelele..
 
Back
Top Bottom