Gonda. Kuna jamaa alikuwa anaweza kuivunja golori kwa kuipiga na golori(tunaita kibenju)
Arusha tulikuwa tunachuchumaa nusu siku, dar wavivu wakabuni wakwao kusimama.hii kitu ulikuwa na uwezo wa kuchuchumaa hata nusu saa unagonga gololi tu...ila naona uchezaji unatofautiana na mkoa na mkoa maana tukiwa Arusha naona una chuchumaa unapiga hatua za vidole then unalenga bt wana dar es salaam naona wanasimama hakuna kuchuchumaa
Ni kweli, mambo yamebadilika sana.Dah hiyo ya betri...umenikumbusha mbaali
mwanza tulikua tunakulazi na kuhesabia nguti ilikua full mautam siku hizi watoto wamebaki kwenye facebook na kulegeza trousers yaani yamekua ndorobo mpaka classGonda. Kuna jamaa alikuwa anaweza kuivunja golori kwa kuipiga na golori(tunaita kibenju)
kanaitwaje vile
Mkuu huu mchezo ni wa vijana wadogo sana ILA hilo kono kubwa, baya halafu jeusi hapo ktk picha hiyo UMENIACHA njia panda kidogo na unaonekana wewe ni mcheza KAMALI ULIYETUKUKA.