Hivi watoto wa siku hizi wanafaidi kweli maana hiyo michezo ilikua ya ukweli sana
Siku hizi wanazirusha tu hawajui na hawajahi kuuona huu mchezo
hii kitu ulikuwa na uwezo wa kuchuchumaa hata nusu saa unagonga gololi tu...ila naona uchezaji unatofautiana na mkoa na mkoa maana tukiwa Arusha naona una chuchumaa unapiga hatua za vidole then unalenga bt wana dar es salaam naona wanasimama hakuna kuchuchumaa
gololi
Gololi za aina hiyo hazinogi. Ile ya kuwa na kishimo as a referal point ndo nzuri.
kitambo sana.tulizitumia kama urembo pia kwenye vioo vya kufugia samaki
- :cheer2:
Ha ha ha! Dah! umenikumbusha mbali sana...na ule wa visoda kuchezesha mechi & mabetri pia ... ilikuwa poa sana. Yaani ukicheki magoti yangu yalikomaa sbb ya michezo hii.
umeonaee...yan ilikua raha saana
Dah Mahenge Primary school hapo 1983 84 tukiita nguti aka gololi dah nilikuwa naicheza balaa ila kulikuwa na watoto bingwa wa hiyo kitu. Braza angu alikuta hizo gololi room dah nilichezea kichapo sikucheza tena
Ha ha ha! Dah! umenikumbusha mbali sana...na ule wa visoda kuchezesha mechi & mabetri pia ... ilikuwa poa sana. Yaani ukicheki magoti yangu yalikomaa sbb ya michezo hii.