Unakumbuka 'games' ulizocheza

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,174
4,062
Burudani ni kitu ambacho kipo kwenye kichwa cha kila mwanadamu. Wanasaikolojia wanadaia sehemu ya ubongo inayoanza kujitengeneza kwa mwili wa mwanadamu ni sehemu inayohusiana na starehe.

Kuna kipindi kabla ya kuja hizi ‘online games’, au games za kwenye simu kulikuwa na hizi game tunatembea nazo game maarufu ikiwa ni kupanga ‘tetris’.

Mara moja moja ukiwa na hela unaingia ‘play station’. ‘Games’ zina uraibu, mara nyingine zilisababisha watoto wakosane na wazazi.

Je kuna jambo lolote ulilolifanya la kijinga kwa sababu ya ‘game’?

1589480051493.png
 
Enzi zangu nimecheza,
1 Sega mega drive
2 Nintendo
3 Super mario
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom