Unakumbuka enzi hizi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unakumbuka enzi hizi!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by KakaKiiza, Mar 18, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,070
  Likes Received: 1,518
  Trophy Points: 280
  Nimekaa nikakumbuka enzi nilizopitia ujanani!!Nakumbuka shati langu la AZARRO,MARADONA,Na Shati langu la Ndege!!Na Jeans yangu ya Michael Jackson na Saa yangu ya Morrtima!!Nikakumbuka viatu vyangu Pett na Bora Ngazi 3!!
   
Loading...