Unakumbuka breakup yako ya kwanza?

nimeshindwa ni mwamvie nini, sema ndo hivyo moyo ushapenda, yani mtu akishatendwa tunaodandia mbele twajitesa tu
[emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa mwana mwenye akili anakula anasepa
 
Mzee baba si uliloweka ndoano kwenye kitumbua chake, sasa shida hapo iko wapi>>>
 
Huyu kijana alikuwa ananipiga matukio nikapanga kumuacha bwana, ila nilivyokuwa nampenda nikaamua kuvumilia, ******** mchizi si akaniacha naamka asubuhi na msg ya naomba tuachane *****[emoji57][emoji57]

Nililia kama nimepewa habari ya msiba ila all is well ukwende tu[emoji41]
 
Sijawahi teswa na breakups sababu sijawahi achwa

Otto
Kina j watatu
Sunday
G
Elvin
Brayo
Yahya

Mnisamehe tu kwakweli

Ila mpenzi wa Sasa naomba usije niumiza maana nakupenda Hadi najisahau
 
Duh! Best imekuwaje tena na hiyo mitusi???😄😄😄😄

Ushapiga Heineken zako nini best??
 
Nisamehe ledada[emoji23][emoji23][emoji41]
 
Sijawahi teswa na breakups sababu sijawahi achwa

Otto
Kina j watatu
Sunday
G
Elvin
Brayo
Yahya

Mnisamehe tu kwakweli

Ila mpenzi wa Sasa naomba usije niumiza maana nakupenda Hadi najisahau
Ndio majina yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…