Unakumbuka breakup yako ya kwanza?

Hahaha dah hiyo line ya mwisho tuu.....
 
Lakini si ulimlaa mzee...at least kidogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mimi niliacha ila iliniuma kuliko maelezo maana alikuwa ndo wa kwanza amabaye tu meshare moment nyingi za kiutu uzima kutofautisha na zille relationship za secondary so kwangu mimi ndo alikua wa kwanza baada, Miezi kadhaa akawa anakata mawasiliano hata week nikimtafuta anasema anamajukumu na yuko busy...kuna siku alipotea hewani week mbili anakuja kunitafuta anasema ''hajisikii kuongea na mimi'' aisee niliumia siki kwa mtu baadae anakija analia na anaomba msamaha na mimi kwa vile nilikua kwenye cycle yake na alikua ameshaniju kuwa nampenda kuliko maelezo akiniomba msamaha natulia na anajiapiza kubadilika muda unaenda kwa shida shida hivo.Sasa siku akaja akaacha kupatikana siku tatu namtumia text hajibu, whatsapp namuona online ila hajibu duuh nikatulia nikamsubiri aje na kweli kama kawaida yake akaja na kuleta vijimaneno vyake ikabidi ni kaze moyo nikamwmbia siwezi kuendelea naye nanikamwambia akanitafuta na mshtaki police...duuh niliacha ila iliniuma sana but ilibidi nifanye hivo ili niishi kwa amani. Alinishafanya niwe na atitude ya kuchukia mahusiano na kuchukia wanawake na haisra sana lakini. ila hiyo ilikuwa kama chanjo baada ya hapo duu nimekuwa nunda na thanks to her she immunized me against her own kinds in love
 
Maisha ya ajabu sana kila mtu hupenda asipopendwa.
 
Ume tisha mzee


 
Aisee.Polen wakuu.Binafsi at 30's sasa bado sijakutana na hii misala.Ukiachana na zile fujo za kwenye mahusiano kabla sijamuoa.Ila kisaikolojia nimeshajipangaga kitambo in case of anything anytime
 
Alifanya mafekechee ila roho eti ina muuma πŸ˜€ [emoji23].
Nashangaaa...Wengi wao humu roho zinauma karibu kufa sababu unakuwa Hujalambaa hata Mate ukute[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…