Unakula nini leo, Karibu Mishkaki!!!


ULE MDA WA MSOSI UMEFIKA MIMI NAENDA CHINISE LEO, HAPA KARIBU NA OFISINI UNAKULA NINI WEWE?
 
hiyo nyama ya panya imenikumbusha simbilisi lol! ni watamu ile mbaya
 
Daaaahhh..bro hao panya umenikumbusha wakati nipo Ghana..wanaita FUFU...!!ni tamu balaaaaa!!
 
Kah...!? Eti watu wanafurahia na wengine kusifia....mh! Kweli tupo aina mbalimbali
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…