Stephen Ngalya Chelu JF-Expert Member Joined Oct 31, 2017 Posts 8,286 Reaction score 18,546 Oct 20, 2018 #121 Unajisaidia kwenye choo cha shimo, kinabomoka, unatumbukia, unakifa.
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,008 Reaction score 28,342 Oct 20, 2018 #122 Hapa naona umeamua kumsema ga....ba kiaina faceoff007 said: Unalala mwenyewe kitandani unashikwa na ngiri unakufa Click to expand...
Hapa naona umeamua kumsema ga....ba kiaina faceoff007 said: Unalala mwenyewe kitandani unashikwa na ngiri unakufa Click to expand...
ledada JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 17,456 Reaction score 67,408 Oct 20, 2018 #124 Cole Williams said: Mkuu inakuhusu hii nn Click to expand... Hapana mkuu
ledada JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 17,456 Reaction score 67,408 Oct 20, 2018 #125 Cole Williams said: Kitambo Click to expand... Kwa kweli
Jimmie Gatsby JF-Expert Member Joined Mar 7, 2013 Posts 3,588 Reaction score 7,287 Oct 20, 2018 #126 Mama Sabrina said: Hiii unaweza lia huko kaburini Click to expand... 😂😂😂 noma sana hii
Mtoto wa Baba JF-Expert Member Joined Sep 1, 2018 Posts 3,123 Reaction score 4,026 Oct 20, 2018 #127 Cole Williams said: Umepanga kutana na crush wako wa JF uliemtumia zawadi kibao PM na hela za shopping unachukua usafiri kumfuata anapoishi unapata ajali UNAKUFA Click to expand... Unapata crush jf kumbe n mke wa mtu...mnakutana mume wake anawafumania anakupiga risasi unakufwa.
Cole Williams said: Umepanga kutana na crush wako wa JF uliemtumia zawadi kibao PM na hela za shopping unachukua usafiri kumfuata anapoishi unapata ajali UNAKUFA Click to expand... Unapata crush jf kumbe n mke wa mtu...mnakutana mume wake anawafumania anakupiga risasi unakufwa.
Mtoto wa Baba JF-Expert Member Joined Sep 1, 2018 Posts 3,123 Reaction score 4,026 Oct 20, 2018 #128 dabluz said: Jamani ni kitu gani hichi..!! Unakufa Unakufa. Click to expand... Unakufa thiredi Hahahahahahaahahah
dabluz said: Jamani ni kitu gani hichi..!! Unakufa Unakufa. Click to expand... Unakufa thiredi Hahahahahahaahahah
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,555 Oct 20, 2018 #129 Mtoto wa Baba said: Unapata crush jf kumbe n mke wa mtu...mnakutana mume wake anawafumania anakupiga risasi unakufwa. Click to expand... Lisasi inadunda anakufwa
Mtoto wa Baba said: Unapata crush jf kumbe n mke wa mtu...mnakutana mume wake anawafumania anakupiga risasi unakufwa. Click to expand... Lisasi inadunda anakufwa
Lumbi9 JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 8,738 Reaction score 12,424 Oct 20, 2018 #130 Fundi_Mjasiriamali said: Unapata demu mrefu anzainuA miguu juu inagusa bulb mnapigwa shoti mnakufza Click to expand... Dah watu wa humu kwa kweli mmenishinda tabia
Fundi_Mjasiriamali said: Unapata demu mrefu anzainuA miguu juu inagusa bulb mnapigwa shoti mnakufza Click to expand... Dah watu wa humu kwa kweli mmenishinda tabia
Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 42,508 Reaction score 94,625 Oct 20, 2018 #131 Wote mliocomment ipo siku mtakufa
bablon6 JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 630 Reaction score 568 Oct 20, 2018 #132 Unataka akufikishe Kileleni,Anakufikisha Unapuruchuka Unaangukia kichwa UNAKUFA
Mtoto wa Baba JF-Expert Member Joined Sep 1, 2018 Posts 3,123 Reaction score 4,026 Oct 20, 2018 #133 demi said: Wote mliocomment ipo siku mtakufa Click to expand... Unawaombea wenzako wafe...Mara ghafla Israel mtoa roho anakutembelea usiku wa leo unashtuka unakufa.
demi said: Wote mliocomment ipo siku mtakufa Click to expand... Unawaombea wenzako wafe...Mara ghafla Israel mtoa roho anakutembelea usiku wa leo unashtuka unakufa.
dingihimself JF-Expert Member Joined Jan 9, 2016 Posts 9,802 Reaction score 20,296 Oct 20, 2018 #134 ledada said: Unachepuka, unakamatwa bae anakuacha na mchepuko unakuacha unapata sonona UNAKUFA Click to expand... Mode nakusabahi
ledada said: Unachepuka, unakamatwa bae anakuacha na mchepuko unakuacha unapata sonona UNAKUFA Click to expand... Mode nakusabahi
Gluk JF-Expert Member Joined Mar 23, 2017 Posts 1,859 Reaction score 3,022 Oct 20, 2018 #135 Jimmie Gatsby said: unaogopa ukimwi unatumia kinga kila game mara unatoka lodge unagongwa na gari unakufa Click to expand... Hahah jamaa mmoja aligongwa na gari akafa wakati tunakagua mifukoni ili tuweze kupata utambulisho wake tukamkuta na pakiti tatu za Condom.
Jimmie Gatsby said: unaogopa ukimwi unatumia kinga kila game mara unatoka lodge unagongwa na gari unakufa Click to expand... Hahah jamaa mmoja aligongwa na gari akafa wakati tunakagua mifukoni ili tuweze kupata utambulisho wake tukamkuta na pakiti tatu za Condom.
Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 42,508 Reaction score 94,625 Oct 20, 2018 #136 Mtoto wa Baba said: Unawaombea wenzako wafe...Mara ghafla Israel mtoa roho anakutembelea usiku wa leo unashtuka unakufa. Click to expand... Shindwaaaa
Mtoto wa Baba said: Unawaombea wenzako wafe...Mara ghafla Israel mtoa roho anakutembelea usiku wa leo unashtuka unakufa. Click to expand... Shindwaaaa
ledada JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 17,456 Reaction score 67,408 Oct 20, 2018 #137 dingimtoto said: Mode nakusabahi Click to expand... Habari yako boss
ibb Member Joined Sep 24, 2018 Posts 25 Reaction score 65 Oct 20, 2018 #138 faceoff007 said: Unatembea haraka haraka unajikwaa unapiga pumbu chini zinapasuka unakufa Click to expand...
faceoff007 said: Unatembea haraka haraka unajikwaa unapiga pumbu chini zinapasuka unakufa Click to expand...
Kyambambembe JF-Expert Member Joined Jan 19, 2015 Posts 326 Reaction score 354 Oct 20, 2018 #139 Unatongoza dem miaka miwili Hulu akikupiga chenga unasafiri banda ya kurudi anakuona mpya anadhoboka na kukuletea mbunye ile unapiga cha kwanza na ufundi mwangi pressure inapanda unakufa
Unatongoza dem miaka miwili Hulu akikupiga chenga unasafiri banda ya kurudi anakuona mpya anadhoboka na kukuletea mbunye ile unapiga cha kwanza na ufundi mwangi pressure inapanda unakufa
Jimmie Gatsby JF-Expert Member Joined Mar 7, 2013 Posts 3,588 Reaction score 7,287 Oct 20, 2018 #140 Gluk said: Hahah jamaa mmoja aligongwa na gari akafa wakati tunakagua mifukoni ili tuweze kupata utambulisho wake tukamkuta na pakiti tatu za Condom. Click to expand... daaaaaah angejua angejikinga na gari badala ya ukimwi 😂
Gluk said: Hahah jamaa mmoja aligongwa na gari akafa wakati tunakagua mifukoni ili tuweze kupata utambulisho wake tukamkuta na pakiti tatu za Condom. Click to expand... daaaaaah angejua angejikinga na gari badala ya ukimwi 😂